MAANA YA ILI JINA FOURTWENTY ()420
Jinalangu naitwa Dullah mwalimu nime zaliwa mkowa wa Dar-es-salaam leo nimeamua kuweka wazi maana halisi ya jina ambalo nali tumia katika mitandao Dullahfourtwenty tz
ilo jina la Dullah ndio lakwangu na ilo lingine ni jina ambalo nime jipachika na kujiita Dullahfourtwenty tz
fourtwenty ni namba yangu ninayo iyamini aijalishi iwe namba ya bahaati au ya mkosi ila iyo ndio namba nilio ichagua kwalolote linalo taka kutokea liaanzia namba moja ikifika 420 ndio namba yangu na apo ndipo uwanza kutawala jina langu la dullahfourtwenty
Tz izo elufi nawakilisha nchi yangu ambayo ni Tanzania
kwa ujumla tuna kuwa tumeelewana
ndipo lina patikana jina kamaili la #Dullahfourtwenty tz
E-MAIL: dullahteacher@gmail.com
facebook; Dullahfourtwenty tz
wasap; 0654101595
Alhamisi, 23 Februari 2017
MAANA YA ILI JINA FOURTWENTY
Tags
About Unknown
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni